Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga(katikati) akishiriki Kikao cha 20 cha Kamati Tendaji ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu kilichofanyika Januari 19,2024 jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (aliyekaa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali na Washiriki wengine, wakati wa Kikao cha 20 cha Kamati Tendaji ya Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi wa Bahari Kuu kilichofanyika Januari 19,2024 jijini Dar es Salaam.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *