Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamemtembelea na kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya katika Makazi yake Upanga Jijini Dar es salaam tarehe 31 Januari 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *