Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *