Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwa na ujumbe kutoka Benki ya NMB na viongozi na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kikao cha pamoja cha kujadili ushirikiano katika masuala ya hifadhi ya mazingira kilichofanyika ofisini kwa Katibu Mkuu Mji wa Serikalini Mtumba jijini Dodoma leo Aprili 16, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *