Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu, Mhandisi Cyprian Luhemeja amefanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi (Adaptation Fund) katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma tarehe 13 Mei, 2024. Katika kikao hicho kilichohudhuriwa pia na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Mhandisi Luhemeja amehimiza umuhimu wa kufadhili miradi ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *