Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitambulishwa wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Mwehe Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja uliofanywa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (kulia) akiwa na waheshimiwa mawaziri Selemani Jafo kutoka Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira,), Dkt. Khalid Salum Mohamed wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi na Jenista Mhagama Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) wakati wa  Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Mwehe Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja zilizozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Chande (kulia) akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange katika viwanja vya Mwehe Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama.
Burudani ikitolewa na kikundi cha muziki wa Taarb cha Chuo cha Mafunzo Zanzibar.
Waziri Jafo na Naibu Waziri Chande walipokuwa  Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Mwehe Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja zilizozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiagana na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo mara baada ya kuzindua Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *