Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 26 Aprili 2022 ameshiriki futari na wazee pamoja makundi maalum katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma. Futari hiyo imehudhuria na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Mawaziri, Makatibu wakuu pamoja na viongozi wa dini.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *