Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiongoza Kikao cha Pili cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Novemba 15, 2022.

Matukio mbalimbali wakati wa Kikao cha Pili cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Novemba 15, 2022.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *