Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa tatu kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak (wa pili kulia) katika banda la Tanzania ambayo inashiriki katika Mkutano wa 28 wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoendelea Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 02, 2023. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa tatu kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Makamu wa Rais Abubakar Rajab

katika banda la Tanzania ambayo inashiriki katika Mkutano wa 28 wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoendelea Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 02, 2023. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak wakipokea wageni mbalimbali waliozuru banda la Tanzania katika Mkutano wa 28 wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoendelea Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). 

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *