Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wadau mbalimbali katika banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulionza Novemba 30 na kutarajiwa kuhitimishwa Desemba 12, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa katika banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulionza Novemba 30 na kutarajiwa kuhitimishwa Desemba 12, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Afisa Mazingira Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhanidisi Bi. Mwanaasha Tumbo katika banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulionza Novemba 30 na kutarajiwa kuhitimishwa Desemba 12, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akizungumza na wageni mbalimbali wanaotembelea banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulioanza Novemba 30 na kutarajiwa kumalizika Desemba 30, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak (wa pili kulia) na viongozi wataalamu wengine kutoka Tanzania katika banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulioanza Novemba 30 na kutarajiwa kumalizika Desemba 30, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak (katikati) akisaini kitabu cha wageni alipozuru banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulioanza Novemba 30 na kutarajiwa kumalizika Desemba 30, 2023.

Wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakitoa maelezo kuhusu masuala mbalimbali kwa wananchi wanaotembelea banda la Tanzania -B86 lililopo katika Viwanja vya Dubai Expo City, Dubai – Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) leo Desemba 01, 2023 ambako Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulioanza Novemba 30 na kutarajiwa kumalizika Desemba 30, 2023.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *