Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera alipowasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi ambapo anatarajia kutembelea Wilaya ya Chunya kukagua shughuli za mazingira.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *