Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Watendaji Benki ya NMB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi.Ruth Zaipuna mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi.Ruth Zaipuna mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

=============================================================================

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *