Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Saada Mkuya pamoja na viongozi wengine wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) wakati alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua Mkutano wa 10 wa Shirikisho hilo. Tarehe 17 Aprili 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *