Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani na maeneo ya Morogoro.

Katika ziara hiyo Bi. Mndeme ameambatana na watendaji kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *