Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme akifanya kikao na ujumbe kutoka mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali ya The Pew Charitable Trusts (PEW) na Wetlands International (WI) kwa lengo la kuainisha fursa zilizopo kwenye uhifadhi wa maeneo ya fukwe, Aprili 17, 2024 jijini Dodoma.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *