Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko katika Kijiji cha Muhoro Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani na kuwapa pole wananchi walioathiriwa na mafuriko hayo.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *