Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04, 2024. Mhandisi Luhemeja alihamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais akitokea Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04, 2024. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme.

Mhandisi Luhemeja alihamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais akitokea Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akishiriki hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04, 2024. 

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *