Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Viongozi pamoja na  Waumini wa Kanisa Katoliki katika Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Dar es salaam Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap inayofanyika Msimbazi Centre Jijini Dar es salaam tarehe 16 Mei 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *