atibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) akifuatilia wasilisho la taarifa ya Sehemu ya Udhibiti wa Ucuafuzi wa Mazingira kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Bi. Catherine Bamwenzaki wakati wa kikao kazi na Wajumbe wa Manejimementi ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) jijini Dodoma leo tarehe 02 Mei, 2024. Wengine wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi, Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Semesi.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *