Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akizungumza wakati wa ufungaji wa warsha ya wadau wanaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD) linalohusu uhusiano uliopo baina ya mabadiliko ya tabianchi na kilimo jijini Dodoma leo Februari 5, 2025.
Read More