Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki Mkutano wa Kumi na Saba wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na na Ukame (UNCCD COP 17) unaofanyika katika Jiji la Ulaanbaatar nchini Mongolia, Agosti 24, 2026.
Read More