Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Dkt Samia Mkutano wa COP12
Oct 08, 2026
Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Dkt Samia Mkutano wa COP12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akitembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kuwasili Kituo cha Mikutano cha Kimatifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akitembekea mabanda ya maoneshoamewasili Kituo cha Mikutano cha Kimatifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akitembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kuwasili Kituo cha Mikutano cha Kimatifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akitembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kuwasili Kituo cha Mikutano cha Kimatifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Kituo cha Mikutano cha Kimatifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.

========================================================================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili Kituo cha Mikutano cha Kimatifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12), leo tarehe 08 Oktoba 2026.

Mkataba wa Nairobi (Nairobi Convetion) unahusu uhifadhi, usimamizi endelevu na uendelezaji wa mazingira ya bahari na ukanda wa pwani katika eneo la Bahari ya Hindi magharibi.

Mkutano huo ulioanza tarehe 06 utatamatika tarehe 09 Oktoba 2026, ukiwa unaadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Mkataba wa Nairobi mwaka 1985. Pia unalenga kujadili namna ya kukuza uchumi wa buluu kupitia uvuvi endelevu, mikakati ya kupambana na uchafuzi wa bahari, mabadiliko ya tabianchi na kulinda bionuai.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor