Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis Januari 16, 2025 jijini Dodoma akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati iliyowasilishwa bungeni Februari, 2024.
Read More