Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni kwa pamoja na Waziri wa Mazingira wa Serikali ya Japan Mhe. Asao Keiichiro (Kei) wakionesha hati walizosaini kuhusu Makubaliano ya ushirikiano katika mpango wa pamoja wa uwekezaji katika Biashara ya Kaboni utakaowezesha kampuni za nchi hizo mbili kuwekeza katika Biashara ya Kaboni nchini Tanzania, iliyofanyika Mei 28, 2025 Tokyo, Japan.
Read More