

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akiwasili katika Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Machi 25, 2026 katika ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Mazingira kuhusu Nishati safi aina ya Haidrojeni.