Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais ashiriki Misa ya kuwekwa wakfu Askofu Msaidizi Dar
Sep 05, 2026
Makamu wa Rais ashiriki Misa ya kuwekwa wakfu Askofu Msaidizi Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu Mhashamu Vicent Mpwaji kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, iliyofanyika katika Viwanja vya Msimbazi Center – Dar es Salaam, leo tarehe 05 Septemba 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akimpongeza Askofu Vicent Mpwaji mara baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam katika Adhimisho la Misa Takatifu iliyofanyika Viwanja vya Msimbazi Center – Dar es Salaam, leo tarehe 05 Septemba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mhashamu Vicent Mpwaji, pamoja na wanafamilia wa Askofu huyo mara baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu iliyofanyika katika Viwanja vya Msimbazi Center – Dar es Salaam, leo tarehe 05 Septemba 2026.

Mhashamu Vicent Mpwaji akiwekwa Wakfu kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, katika Adhimisho la Misa Takatifu iliyofanyika Viwanja vya Msimbazi Center – Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, leo tarehe 05 Septemba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na wazazi wa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mhashamu Vicent Mpwaji, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu kwa Askofu huyo, iliyofanyika katika Viwanja vya Msimbazi Center – Dar es Salaam, leo tarehe 05 Septemba 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor