Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais awasili Italia kushiriki Mkutano
Jun 19, 2025
Makamu wa Rais awasili Italia kushiriki Mkutano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci Jijini Roma nchini Italia leo tarehe 19 Juni 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Ubia wa Maendeleo kati ya Afrika na Serikali ya Italia (Mattei Plan) utakaofanyika tarehe 20 Juni 2025.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci Jijini Roma nchini Italia leo tarehe 19 Juni 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Ubia wa Maendeleo kati ya Afrika na Serikali ya Italia (Mattei Plan) utakaofanyika tarehe 20 Juni 2025. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi