Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Samia Jukwaa la Nguvu ya Atomu Austria
Sep 14, 2026
Makamu wa Rais kumwakilisha Rais Samia Jukwaa la Nguvu ya Atomu Austria
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini Austria leo tarehe 14 Septemba 2026.
Na Robert Hokororo

================================================================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum)  mara baada ya kuwasili Vienna nchini Austria leo tarehe 14 Septemba 2026.

Makamu wa Rais, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu ya Atomu (IAEA Scientific Forum).

Jukwaa hilo litafanyika tarehe 15 na 16 Septemba 2026 Vienna nchini Austria. Jukwaa hilo linafanyika sambamba na Mkutano Mkuu wa 70 wa Wakala wa Kimataifa wa Nguvu ya Atomu (International Atomic Energy Agency - IAEA).

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor