Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya Uzalishaji Vifaa Tiba ya Health 3000 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Maurizio Flammini kuhusu matibabu kwa njia ya mtandao (Telemedicine). Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao Makuu ya Kampuni Roma nchini Italia leo tarehe 23 Juni 2025.
Read More