Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Dkt. Islam Seif Salum (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Richard Muyungi muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi hizo Mjini Zanzibar leo Alhamisi Januari 22, 2026.
Read More