Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Balozi wa Japan kuimarisha ushirikiano
Jan 14, 2026
Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Balozi wa Japan kuimarisha ushirikiano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2026.
Na Robert Hokororo

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha zaidi ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na Japan.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mara baada ya kufanya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi