Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Dkt. Muyungi aapishwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Jan 13, 2026
Dkt. Muyungi aapishwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Richard Stanslaus Muyungi kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.
Na Robert Hokororo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Richard Stanslaus Muyungi mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Sehemu ya Menejimenti ya Ofisi hiyo mara baada ya hafla ya uapisho wa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (katikati), iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Januari, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi