Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiongea na Waandishi wa Habari Unguja, Zanzibar Machi 3, 2026 wakati akitoa kauli ya Serikali katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Afrika inayoadhimishwa kila mwaka Machi 3.
Read More