Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Kanisa la Hija ya Bikira Maria - Pugu Jijini Dar es Salaam, ambapo anaungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Tarehe 28 Februari 2026. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akikagua na kupata maelezo kuhusu namna jiko linalotumia nishati safi ya alipofanya ziara ya kutembelea Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, kuhimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakati wa kilele cha Tamasha la 17 la kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji, iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea, mkoani Ruvuma, leo tarehe 27 Februari 2026. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua mradi kilimo mseto (Kinoni Agroforestry Farm) unaotekelezwa na Kampuni ya KADERES, katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi, leo Februari 25, 2026. Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akifanya mazungumzo na wataalamu kutoka Kampuni ya Vitol (World Largest EnergyTrader) na Vivo Energy, Februari 23, 2026 katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) akizungumza wakati alipofanya katika Shule ya Sekondari ya wasichana Mabwe Tumaini iliyopo Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam Februari 23, 2026, kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya nishati safi kwa taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazungira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akizungumza wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua shughuli za uchakati wa taka na kuzalisha mbolea katika mradi wa kiwanda cha Mabwepande wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam leo Februari 23, 2026. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kindondoni Mhe. Saad Mtambule. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa
slot gacor