
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipanda mti katika eneo la Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, alipofanya ziara chuoni hapo ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akitembelea karakana ya umeme ya Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, ambayo ni ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali na viongozi kutoka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) alipofanya ziara katika chuo hicho kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera ambapo alifanya ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipokea zawadi ya kikombe chenye picha yake kilichoandaliwa katika karakana ya uchoraji na upakaji rangi alipotembelea Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, ambayo ni ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipokea zawadi ya picha yake iliyoandaliwa katika karakana ya uchoraji na upakaji rangi alipotembelea Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Mafunzo Stadi (VETA) kilichopo Burugo wilayani Bukoba mkoani Kagera, ambayo ni ziara ya kuhimiza taasisi za umma kutumia nishati safi ya kupikia.