Watumishi Ofisi ya Makamu wa Rais wakishiriki mafunzo kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Utendaji (PEPMIS), yaliyofanyika Julai 17, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dodoma.

===================================================================================================================
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) ,Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Baraka Luvanda kwa niaba ya Katibu Mkuu, Dkt. Richard Muyungi amefungua mafunzo kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Utendaji (PEPMIS), yaliyofanyika Julai 17, 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Dodoma. Mafunzo hayo yaliwezeshwa na wataalamu kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, yakilenga kuimarisha uelewa na matumizi bora ya mfumo huo katika usimamizi wa utendaji kazi serikalini.