Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Balozi Luvanda atembelea Ofisi za NCMC
Mar 04, 2026
Balozi Luvanda atembelea Ofisi za NCMC
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda (katikati) akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC), Bi. Kathryn Kigaraba muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Kituo hicho zilizopo Morogoro wakati wa ziara yake ya kutembelea Kituo hicho leo Jumatano Machi 04, 2026.
Na Robert Hokororo

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe Balozi. Baraka Luvanda akisalimiana na watumishi wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Kituo hicho zilizopo Morogoro wakati wa ziara yake ya kutembelea Kituo hicho leo Jumatano Machi 04, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji Kaboni (NCMC), Kathryn Kigaraba (Katikati) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari NCMC, Bw. Hamidu Ibrahim (kushoto) muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Kituo hicho zilizopo Morogoro wakati wa ziara yake leo Jumatano Machi 04, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) muda mfupi baada ya kuwasili katika Kituo hicho zilizopo Morogoro wakati wa ziara yake leo Jumatano Machi 04, 2026.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Taifa cha UfuatiliajI wa Kaboni (NCMC), Kathryn Kigaraba akizungumza jambo wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda katika ofisi za kituo hicho kilichopo Mkoani Morogoro leo Jumatano Machi 04, 2026.

Naibu Katibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Taifa cha Kufuatilia Kaboni (NCMC), Kathryn Kigaraba pamoja na watendaji wa Kituo hicho wakati wa ziara yake ya kikazi katika Ofisi za Kituo hicho Mkoani Morogoro leo Jumatano Machi 4, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi