Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Kwagilwa awasili Kisumu kushiriki Mkutano wa Mawaziri Bonde la Ziwa Victoria
Oct 23, 2026
Kwagilwa awasili Kisumu kushiriki Mkutano wa Mawaziri Bonde la Ziwa Victoria
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) Bw. Charles Kadonya (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. Bernard Kibesse mara baada ya kuwasili jijini Kisumu, Kenya leo Oktoba 23, 2026 kushiriki Mkutano wa 24 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) ulioanza Oktoba 19, 2026. Mhe. Kwagilwa anamwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.
Na Robert Hokororo

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (wa pili kushoto) akimsikliza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) Bw. Charles Kadonya (wa pili kulia) mara baada ya kuwasili jijini Kisumu, Kenya leo Oktoba 23, 2026 kushiriki Mkutano wa 24 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) ulioanza Oktoba 19, 2026, akimwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. Bernard Kibesse.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. Bernard Kibesse mara baada ya kuwasili jijini Kisumu, Kenya leo Oktoba 23, 2026 kushiriki Mkutano wa 24 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) ulioanza Oktoba 19, 2026, akimwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor