Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais akabidhiwa kombe la ushindi wa timu ya netiboli ya Ofisi yake
Mar 11, 2026
Makamu wa Rais akabidhiwa kombe la ushindi wa timu ya netiboli ya Ofisi yake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa Kombe Maalum la Ushindi wa Timu Bora ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais ambalo imepata katika mashindano maalum ya ligi ya Muungano iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa Kombe Maalum la Ushindi wa Timu Bora ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ambalo imepata katika mashindano maalum ya ligi ya Muungano iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni.  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa Kombe Maalum la Ushindi wa Timu Bora ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais vyeti vya pongezi ambavyo imepata katika mashindano maalum ya ligi ya Muungano iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni.  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais na wachezaji wa timu ya netiboli ya Ofisi hiyo marta baada ya kukabidhiwa Kombe na vyeti ambavyo imepata katika mashindano maalum ya ligi ya Muungano iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi