Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais ashiriki bada ya kumuombea Hayati Baba wa Taifa mjini Sumbawanga
Oct 14, 2026
Makamu wa Rais ashiriki bada ya kumuombea Hayati Baba wa Taifa mjini Sumbawanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo tarehe 14 Oktoba 2026.
Na Robert Hokororo

Matukio mbalimbali wakati Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo tarehe 14 Oktoba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo tarehe 14 Oktoba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo Oktoba 14 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Baba wa Taifa Hayati. Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambao ni Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Makongoro Nyerere mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo Oktoba 14 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba na Mkewe Mama Neema Nchemba, katika picha ya pamoja na Askofu Damian Kyaruzi, Mapadre pamoja na familia ya Baba wa Taifa Hayati. Mwl. Julius Kambarage Nyerere, mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo Oktoba 14 2026.

==========================================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka 27 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Epifania Jimbo Katoliki Sumbawanga, leo tarehe 14 Oktoba 2026.

Ibada hiyo, imeongozwa na Askofu Damian Kyaruzi wa Jimbo Katoliki Sumbawanga na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Makongoro Nyerere, pamoja na Viongozi mbalimbali, waumini na wananchi mbalimbali.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor