Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais ateta na Balozi wa Cuba
Mar 12, 2026
Makamu wa Rais ateta na Balozi wa Cuba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Yordenis Despaigne Vera, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 12 Machi 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Yordenis Despaigne Vera, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 12 Machi 2026.

======================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amefanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Yordenis Despaigne Vera, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 12 Machi 2026.

Mazungumzo hayo, yamelenga kuimarisha uhusiano wa muda mrefu wa Tanzania na Cuba, ambao unatimiza miaka 64.  Cuba na Tanzania zimekuwa zikishirikiana katika Sekta mbalimbali za kimkakati kama vile Elimu, Afya, Utalii pamoja na Kilimo. 

Tanzania na Cuba kwa miaka mingi zimeendelea kuwa na mahusiano na maelewano ya kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia katika ngazi ya nchi mbili, kikanda na kimataifa. Tanzania na Cuba zilianzisha uhusiano wa kidiplomasia mwaka 1962 mara tu baada ya Tanzania kupata uhuru mwaka 1961.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi