Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili Zanzibar, leo tarehe 11 Agosti 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jengo la Dakhalia katika Skuli ya Sekondari ya Husnuu Makame – Kibuteni Unguja, ikiwa ni shamrashamra ya Tamasha la Kizimkazi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na viongozi mara baada ya kuwasili Zanzibar, leo tarehe 11 Agosti 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jengo la Dakhalia katika Skuli ya Sekondari ya Husnuu Makame – Kibuteni Unguja, ikiwa ni shamrashamra ya Tamasha la Kizimkazi.