Mhe. Deogratius John Ndejembi akiapa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 29 Agosti 2026.

Mhe. Deogratius John Ndejembi akiapa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 29 Agosti 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi mara baada ya Uapisho, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 29 Agosti 2026.