Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kulia) akizungumza na Mbunge wa Mlalo Mhe. Rashid Shangazi wakati wa Kikao cha Pili cha Mkutano wa Nne unaoendelea jijini Dodoma leo Agosti 27, 2026.
Na
Robert Hokororo