Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha 12 cha Mkutano wa 18 wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 12, 2025. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akiwasilisha bungeni jijini Dodoma, Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa Mwaka 2024, leo Februari 12, 2025. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Tano cha Serikali Mtandao kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 11 Februari 2025. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Bodi ya Juu ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA – NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao na kuongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo ambaye ni Rais wa Misri Mhe. Abel Fattah El- Sisi. Tarehe 10 Februari 2025 - Dodoma. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (kulia) akichangia Taarifa ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kwa Mwaka 2024 iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma leo Februari 07, 2025. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akizungumza wakati wa ufungaji wa warsha ya wadau wanaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD) linalohusu uhusiano uliopo baina ya mabadiliko ya tabianchi na kilimo jijini Dodoma leo Februari 5, 2025. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akichangia taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kwa mwaka 2024 iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma leo Februari 05, 2025. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha Saba cha Mkutano wa 18 wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 05, 2025. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa