Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, Julai 02, 2026 akitoa tamko la Serikali kuhusu maandalizi ya Tanzania kuelekea Mkutano huo unaotarajia kufanyika nchini kuanzia Oktoba 06 hadi 09, 2026.. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi Mazingira (NEMC) Mikocheni Jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara katika Baraza hilo leo tarehe 02 Julai 2026. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Balozi Meja. Jen. Marco Elisha Gaguti, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 01 Julai 2026. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa
slot gacor