Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais afanya mazungumzi na Balozi Gagauti
Jul 01, 2026
Makamu wa Rais afanya mazungumzi na Balozi Gagauti
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Balozi Meja. Jen. Marco Elisha Gaguti, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 01 Julai 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Balozi Meja. Jen. Marco Elisha Gaguti mara baada ya kufanya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 01 Julai 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiagana na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Balozi Meja. Jen. Marco Elisha Gaguti mara baada ya kufanya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 01 Julai 2026.

========================================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Balozi Meja. Jen. Marco Elisha Gaguti.

 

Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 01 Julai 2026.

 

Aidha, mazungumzo hayo yamefanyika kufuatia, Mhe. Balozi Gaguti, kufika kwa Makamu wa Rais kwa lengo la kumuaga akielekea katika Kituo chake cha kazi nchini Uganda, mara baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor