Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Wadau watakiwa kuchangamkia fursa Mkutano wa COP 12 Tanzania
Jul 02, 2026
Wadau watakiwa kuchangamkia fursa Mkutano wa COP 12 Tanzania
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, Julai 02, 2026 akitoa tamko la Serikali kuhusu maandalizi ya Tanzania kuelekea Mkutano huo unaotarajia kufanyika nchini kuanzia Oktoba 06 hadi 09, 2026..
Na Robert Hokororo

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian akitoa taarifa kuhusu hali ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira katika mkoa huo wakati wa Mkutano wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa na waandishi wa habari Julai 2, 2026 Jijini Tanga kuhusiana na tamko la Serikali kuhusu maandalizi ya Mkutano wa wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12) unaotarajia kufanyika nchini kuanzia tarehe 6-9 Oktoba, 2026.

Baadhi ya watendaji waandimizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakifuatilia tamko la Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati alipozungumza na waandishi wa habari Julai 2, 2026 Jijini Tanga kuhusu maandalizi ya Mkutano wa wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12) unaotarajia kufanyika nchini kuanzia tarehe 6-9 Oktoba, 2026.

Wadau wa mazingira na wananchi wa Mkoa wa Tanga wakifuatilia tamko la Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati alipozungumza na waandishi wa habari Julai 2, 2026 Jijini Tanga kuhusu maandalizi ya Mkutano wa wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12) unaotarajia kufanyika nchini kuanzia tarehe 6-9 Oktoba, 2026

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian (kushoto), Katibu Tawala wa Mkoa huo, Rashid Mchatta (kulia) na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Baraka Luvanda muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano baina Naibu Waziri Kwagilwa na waandishi wa vyombo vya habari uliofanyika Julai 2, 2026 Mkoani humo.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (katikati waliokaa), Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Rashid Mchatta (kulia), Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais (wa pili kulia) wakiwa katika picha watumishi kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Tanga muda mfupi baada ya baada ya kumalizika kwa mkutano baina Naibu Waziri Kwagwila na waandishi wa vyombo vya habari uliofanyika Julai 2, 2026 Mkoani humo.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (katikati waliokaa), Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Rashid Mchatta (kulia), Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji waandamizi na watumishi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais muda mfupi baada ya baada ya kumalizika kwa mkutano baina Naibu Waziri Kwagilwa na waandishi wa vyombo vya habari uliofanyika Julai 2, 2026 Mkoani humo.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor