Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Dkt Muyungi ashuhudia mechi ya Yanga vs Azam
Apr 25, 2026
Dkt Muyungi ashuhudia mechi ya Yanga vs Azam
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akiwa na viongozi mbalimbali, watumishi Ofisi ya Makamu wa Rais na wananchi wakishuhudia mechi ya nusu fainali kati ya Timu ya Yanga SC dhidi ya Azam FC katika mashindano ya Kombe la Muungano inayofanyika katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar tarehe 25 Aprili, 2026. Katika Matokeo ya mchezo huo Yanga walishinda kwa magoli 2-1.
Na Robert Hokororo

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi