Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais ashiriki kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Aug 14, 2026
Makamu wa Rais ashiriki kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki Kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2026) lililofanyika katika Uwanja wa Mwehe, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Tamasha hilo limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki Kilele cha Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2026) lililofanyika katika Uwanja wa Mwehe, Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

Tamasha hilo limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor